⏳ 2 Minutes Read • Feeling Lost
Photo: Quora
Unajua, kuna ile phase ya life ukiwa mwanaume unaingia tu na hauelewi anything. Uko 20-something, haujui kama unataka kuwa msee wa tech, kuku, ama uende Dubai ufanye vlogs. Unashinda tu ukiambia watu "Niko tu." But deep down unaskia pressure mbaya, bro.Ukitoka inje, maboys wanadrip. Wengine wanapost mabae, wengine wanasema "secured the bag", alafu sasa kuna wewe uko hapo — kazi ni kudishi na Fuliza na Okoa Jahazi. Sasa unaanza kujiuliza, "Niko wrong ama life ndio imeamua kunidharau?"
Pressure iko kila angle 😮💨
Unashindwa if you should focus on hustle, love life, kuenda sherehe, ama kujoin forex group fulani hapo ya Telegram. Uko na ndoto nyingi lakini kichwa imejaa confusion kama River Road kwa elections.
Na kila msee anakuambia: "Bro, by 25 unafaa kuwa uko settled."
Lakini unakuwa settled wapi? Hata rent ya single room inataka kukuambia "tutafutane."
Ile Overthinking ni mbaya 🤯
Unalala saa sita, ukiamka unahepa watu, no motivation, unaskia tu ni kama hauko kwa lane yako. Saa zingine unawatch motivational videos huko Clock App hadi kichwa inakuwa heavy, lakini action na progress — zero.
Unasema utaanza biashara Monday. Monday inafika, unakuwa motivational speaker kwa WhatsApp status, then by Wednesday uko kwa “Break from everything” mood.😂
Sasa tufanye Nini surely?
Photo: By Keem
✓ Pole pole bana – Hii life si race. Kutoka block nayo tutatoka, Kila mtu na siku yake...✓ Try vitu mob – Fanya mistake, kosa pesa, jua vile life hufanya mtu strong
✓ Stay off Social Media saa zingine – Hao unaona huko ni kama wanawin, wengi hawapost struggles zao.
✓ Kuwa real na emotions zako – Kukuwa msee soft sio vulnerability bro.
✓ Usijibebe solo – Talk to boyz, mentor, hata stranger. We all lost sometimes.
Usisahau… uko na time⏳
Uko in your 20s — ukiteleza leo, bado uko na miaka mingi ya kuamka.
Ukiwa lost saa hii, si ni poa kuliko kujua umeparara ukiwa 45?
Bro, umewahi feel hivi? Ama ni mimi tu napiga blanks?
Drop kwa comments tuone kama tuko wengi 😂👇🏾
#BroWachaNikushow
0 Comments